[Verse 1] Kiangazi Masika Ukiichanganya Vyote Vikashuka Kwangu Vitanielemea Ntakosa Pa Kushika Ntavavanya Wewe Ndo Mwandani Wangu Nliokuzoea Ntunza Vyangu Visiri Mwenye Kunisitiri Fundi Mitambo Kinga yangu Ya Mwili Usiyelipa Bili Kuchoma Changu Simtaki Kafiri Jangiri Mwingi Wa Mambo Moyo Akaukatilli Nikondeshe Mwili Ajifanye Rambo
[Bridge] Si Unajua Dalili Ya Mvua Mawingu Ikitaka Kunyesha Huwa Yanatanda Nami Si Unanjua aah! Nimeumbwa Na Wivu Kidogo Tu Presha Yanshuka Yapanda Niahidi Kama
[Chorus] Utatulia Aaah! Baby Niahidi Kama (Utatulia Aaah!) Hhhmm Nisibaki Nkashika Tama Utatulia Aaah! Baby Niahidi Kama (Utatulia Aaah!) Hhhmm Wasiniibie Cha Ngama
[Verse2] Maneno Yangu Si Biblia Wala Masaafu Useme Usibadili (Hhhmm) Jichunge Kipenzi Changu Unanisikia Usicheze Rafu Yatimie Waliotabiri Usijifanye Ronaldinho Penzi Utie Mbwembwe Utahaaribu Visokolokwinyo Wakupitie Denge Kukujaribu Kina Capachino Wakakutia Wenge Kwa Vizabibu Wakugongeshe Mvinyo Ukaota Mapembe Iwe Aibu
[Bridge] Si Unajua Dalili Ya Mvua Mawingu Ikitaka Kunyesha Huwa Yanatanda Nami Si Unanjua aah! Nimeumbwa Na Wivu Kidogo Tu Presha Yanishuka Yapanda Niahidi Kama
[Chorus] Utatulia Aaah! Baby Niahidi Kama (Utatulia Aaah!) Hhhmm Nisibaki Nkashika Tama Utatulia Aaah! Baby Niahidi Kama (Utatulia Aaah!) Hhhmm Wasiniibie Cha Ngama
[Outro] Eeeh eh Yani Kama Ukitulia Tulia SItathubutu Macho Kupepesa Ukitulia Tulia Ukinipa Kiduchu Nitatosheka Kama Ukitulia Tulia Sitofwata Nguruchu Niende Teseka Ukitulia Tulia Eeeh eh Nami Ntatulia
0 Comments