Walimwengu wakubeza na wengine wakucheka Mwelekeo umepoteza hata mbele huoni tene Nyumbani njaa kali kazini tafrani banki una deni Biashara imefaili Na wao tu hawajui mangapi yanayokukabili Kabla ya jua kuzama una mambo mengi Yaliyofungwa kwako wee yatafunguliwa Na kabla ya jua kuzama utaona mengi Yaliyofungwa kwako wee yatafunguliwa
Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo) Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo) Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo) Oh bado kidogo (bado kidogo) oh usife moyo (bado kidogo)
Ukifaili isijione haufai Give thanks and praise to the Most High Naona unavyofuta machozi wewe Na shida unazopata ili kusonga mbele Hatua ziko chache ili kufika kule Pambana usiyumbishwe na zao kelele Nakuona unapigania haki simama utashinda
Na wao tu hawajui mangapi yanayokukabili Kabla ya jua kuzama una mambo mengi Yaliyofungwa kwako wee yatafunguliwa Na kabla ya jua kuzama utaona mengi Yaliyofungwa kwako wee yatafunguliwa
Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo) Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo) Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo) Oh bado kidogo (bado kidogo) oh usife moyo (bado kidogo)
Usione kama vile jua lakuchoma peke yako Usione kama vile giza limetanda tu kwako

0 Comments