Verse 1: Wanasemaga mapenzi safari Unavyopita ndo jinsi unajongea Ila niendako nimbali sijuika ntafika Sababu natembae Iliposika gabari Yakisifika nikakesha nangojea ah! Akanariki Jalali na nikawika muziki Nikauotea Ile pru mpaka maka Nikaja ndia kwa bongo movie Kumbe mapenzi hayataki haraka Nikama tangonatia tuchumvi Mwenzenu nikaoza haswa Nakujitia kitandani mjuzi Etinataka fukuza pakabadala yambwa Nikafuga mbuzi Mm wivu ukaniganya Nikagombona namarafika Ugimvi na mama angu Akinambia siambiliki Moyo ukanambia NASEEB sasa mapenzi basi Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi ESMA ananambia mdogo wangu mapenzi basi Ila nang'ang'ania nikiumizwa nahuyu Keshona mwingine
Chorus: Ooh mboni sikomi Sikomi Sikomi Richa ya matesi haya Najiuliza Oh sikomi Oh Sikomi mbona (Sikomi) Mbona jamani Sikomi richa ya mateso haya ah! Mmh
Verse 2: Aliyonifanyia wa central Akia - MUNGU siyawezi sema Ila nimejifunza kesho siwaamini wachexa sinema Moyo walinipatia mateso siwezi kumeza siwezi tema Mana sikushanga ile ghafra toka CCM kwenda CHADEMA Wanasema kitanda ukitandika shariti ukilalie Nikajitia ukamanda yatakwisha wacha nivumilie Kila kiza kikitanda Ndo vis machozi mi nilie Penzi yakatia parapanda Kuwaita waje wahsambulie Aah acha na PENNY we darling Nilomuhongaga gari Aliponambia ana mimba mwisho wa siku akaichomoa chali!!!!! MOLAH akanitunuku ZARI' Akanizalia dum na mwali Nilivomjinga nika cheat aibu mpaka kwa vyimbo vya habari Moyo unanambia NASEEB sasa mapenzi basi Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi LAIZER ananambia simba mapenzi basi Ila nang'ang'ania nikiumizwa na huyu kesho na mwingine
Chorus: Ooh mboni (Sikomi) Mboona (Sikomi) Mboona jamani (Sikomi) Richa ya mateso haya! Nishafumaniwa Oh Sikomi Nikafuminiwa mimi (Sikomi) Nishapambana na watu (Sikomi) Richa ya mateso haya! Mateso mama
0 Comments