{Verse 2} mmh najitahidi silaki kwenye kitaanda Huenda nkapunguza ndoto zako mmh mwilini nina machale utazani mwanga yote kusahau uwepo wako mmh laitikama ungekua gari ningekugonga barabarani ama nyuki ntoe asali nkung’ate sura wasitamani hivi we ungo ulivuja mwali ama ulivunja sahani kuniundia matimu kwa mitandao Vijembe vya kazi gani kinacho niumiza nafsi kunisikitisha kwa watu kujishongondoa Kumbe mapenzi sabato akati nayazidisha mwenzangu nje unayatoa We cementi me mchanga nkasemamapenzi tujenge lisije loa najitiya mkadalasi naezeka mabati Wachini kenchi unabomoa niache
{Chorus} Niache (Ohh Niache) Niache Moyo Wangu unahisi Nia…che na ukae mbali Niache (Ohh Niache) Niache Usiwapigie rafiki zangu Niache Usiwapigie rafiki zangu Nache usithibutu hata Nia….che Niache
{Outro} mmh ntakudanganya kwa tabasamu ntakudanganya kwa kucheka ntakudanganya hata kwa salam ila moyoni nakuchukia ntakudanganya kukufollow ntakudanganya kucomment ntakudanganya kulike picha ila siwezi kukuzibia
0 Comments